Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nchi za nje na biashara wa Serikali ya Ireland, Eamon Gilmore ( watatu kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji safi na maji taka ( MOROWASA) , Mhandisi Halima Mbiru ( wa pili kushoto) kuhusu hatua mbalimbali za kutibu na kusaficha maji ya kunywa katika Kituo cha Mafiga kutoka Bwawa la Mindu, na (wanne kushoto), ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Issa Machibya, wakati alipotembelea kituo hicho.
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nchi za nje na Biashara wa Serikali ya Ireland, Eamon Gilmore ( kulia) akiangalia punje za mpunga uliokomaa kwenye shamba la Mkulima , Rajabu Makunja ( wa kwanza kushoto) na mkewe Flora Makunja ( pembezoni kulia) ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Issa Machibya, wakati alipotembelea mashamba ya Mpunga ,Dakawa.
Mpiga picha kutoka Ireland , ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja akiwa ameambatana na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nchi za nje na Biashara wa Serikali ya Ireland, Eamon Gilmore ( hayupo pichani) akimpiga picha Habiba Salehe na Mwanae Mwashi Mzambia walioketi kwenye mashamba ya kilimo cha umwagiliaji wa zao la mpunga, Dakawa, , Naibu Waziri Mkuu huyo alitembelea shamba hilo.Picha na John Nditi wa Globu ya Jamii - Morogoro.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...