Baada ya uzinduzi wa PesaFasta jijini Dar wiki iliyopita ale Coco Beach na kujaza watu pomoni, NMB imepeleka promosheni ya NMB PesaFasta jijini Mwanza ambako nako wakazi wa Rock City walijaa kwa mamia kushuhudia promosheni ya NMB PesaFasta mkoani humo. Baada ya Dar na Mwanza promosheni ya NMB PesaFasta itapelekwa Arusha, Mbeya na Dodoma.
Mshabiki kawavamia Juma nature na KR waliokuwa wakikushusha burudani iliyoshiba kwenye promosheniya NMB PesaFasta jijini Mwanza. |
Faraji T maarufu kama Sajna na Josefly walikuwepo kutoa burudani nzito. Sajna anavuma na wimbo wake wa Iveta. |
Umati wa wakazi wa Mwanza ukishuhudia. |
NMB PesaFasta ni huduma inayomwezesha mteja wa NMB mobile kumtumia ndugu au jamaa ambaye hana akaunti ya fedha. Na ili kuchukua fedha ulizotumiwa unaenda kwenye ATM yeyote katiya zaidi ya 400 za NMB nakuchukua fedha zilizotumwa bila ya kuwa na akaunti wala ATM kadi ya NMB.





Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...