Ladies and Gents, brothers and sisters, 
Napenda kuwakumbusha Tarehe 16 June 2011, Blog yako www.thebigtopten.blogspot.comitakua inafikisha mwaka mmoja. Binafsi pamoja na crew nzima tunapenda kutoa shukrani zetu kwa kutuunga mkono, haikua kazi rahisi kufika hapa tulipo bila msaada wenu kwa njia moja ama nyingine. 


MC Stopper
Tungependa kwa siku hizi chache zilizobaki, kuchukua ushauri, mawazo, pongezi, kuturekebisha tulipokosea yote kwa ajili ya kujenga. Shukran na big up kwa wanna blog wote hapa nchini hakika hii inaonyesha tulivyo makini katika mabadiliko haya ya teknolojia. Salute!!!!! Kumbuka tarehe 16 June,  2011 ni birthday ya blog hii. 


By Mukhsin Mambo (Mc Stopper) 
from Star TV Mwanza.

----------------------------------------------
Globu ya Jamii kwa niaba ya wanalibeneke wengine tunatoa pongezi kwa bloga wote wa Mwanza kwa kuendeleza libeneke kwa kwenda mbele. Kwa kweli kazi mnayoifanya wewe na wengine kama G Sengo inatupa furaha na faraja kwamba wigo wa libeneke unazidi kutanuka, Usisahau kutualika kwenye mnuso hiyo Juni 16, 
siku ha hepi besdei ya blogu yako.
- Michuzi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...