Kepteni wa Segerea Veteran Salum (kulia) akikabidhiwa Mbuzi baada ya kuifunga Mburhati Veterans bao 2-0 katika fainali ya Bonanza lililofanyika uwanja wa Barafu Mburahati jijini Dar es salaam Jumapili. Hivi sasa wakongwe hao wa Segerea wanajiandaa na safari ya Tanga watakokwenda kupambana na veterani wenzao
Home
Unlabelled
segerea veterans washinda kombe la mbuzi kwenye bonanza mburahati
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...