Beki wa timu ya vijana mkoa wa Tabora Mohamed Hussein Juma (kushoto) akimiliki mpira huku akizongwa na kiungo wa timu ya mkoa wa Iringa, Ramadhan Kihwelo katika mashindano ya vijana chini ya miaka 17 ya Copa Coca-Cola uliofanyika kwenye Uwanja wa Karume Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1. (Picha na Francis Dande).
Home
Unlabelled
tabora na iringa zashindwa kutambia leo katika mashindano ya copa coca-cola
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Saafi Saaana
ReplyDeleteI hope hawa watatunzwa na kuipeperusha bendera ya taifa mbali zaidi.