Kiongozi wa msafara wa timu ya taifa ya Tanzania, Samweli Nyala (wa tatu kushoto) akipokea bendera ya taifa kutoka kwa Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Idd Kipingu wakati wa kuiaga timu hiyo ambayo inatarajiwa kuondoka alfajili ya  tarehe juni 3 kwenda Afrika ya Kati kwa ajili ya mchezo wa kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika (CAN) mchezo utakaochezwa siku ya jumapili Juni 5 ambapo fainali zake zitafanyika mwakani nchini Equtoria Guinea na Gabon. Wanaoshuhudia ni Kocha Mkuu wa timu hiyo, Jan Poulsen na nahodha wa stars Shandrack Nsajigwa.
Taifa Stars maoezini

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 03, 2011

    Go go stars.Msiposhinda mechi hii ndiyo mwisho hapo.Tunabakiza waarabu algeria(Dar) na Morocco(Rabat?).

    Kuna Vurugu za kidini jijini Bangui tangu juzi :Tunaomba serikali yetu iwe karibu sana na msafara huu.Na msafara wenyewe kuchukua tahadhari muhimu

    David V

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...