Baadhi ya Viongozi  wa Serikali za Wanafunzi wa Vyuo Vikuu pamoja  Taasisi za Elimu ya Juu  na pia Viongozi wa Klabu za Wapinga vita Rushwa kutoka Vyuo 15 nchini  wakiwa katika warsha ya siku mbili iliyohusu  kupambana na rushwa iliyofanyika Mkoani Morogoro

Mratibu wa NACSAP II Kanda ya  Mashariki  ya Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Morogoro kutoka Makao Makuu ya Takukuru, Joyce Shundi, ( kulia) akisisitiza jambo wakati akifungua warsha ya kupambana na Rushwa kwa Viongozi wa Serikali ya wanafunzi wa Vyuo Vikuu na wa Klabu za kupinga Vita Rushwa katika Vyuo  Vikuu pamoja na Taasisi za Elimu ya Juu nchini ,( hawapo pichani ) ambayo iliandaliwa na Taasisi hiyo mkoani Morogoro. Picha na John Nditi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...