Wataalamu wa ujenzi wa barabara za jijini dar wakiwajibika ili kuiweka sawa keep left iliyopo mtaa wa msimbazi kariakoo jirani na kituo cha daladala cha Bahresa.haijafahamika mpaka sasa kwamba ni kiongozi gani mkubwa atakaekuja kuizindua keep left hii pindi itakapo kamilika.
Hii ipo pale karibia na klabu ya Simba nayo ukarabati wake umepamba moto.



Wenzenu wanapokuwa kwenye matengenezo kama hayo wanalizungushia utepe eneo husika ili hata mtu akiwa mbali ajue hapapitiki. Ninyi mnaweka vikoni vilivyojichokea!!! Hata vitu vidogo tu kama hivyo vinatushinda?
ReplyDeleteNAOMBA KUWAULIZA WADAU,HIVI "KEEP LEFT" MANAAKE NINI? AU TUNAITUMIAJE KWETU SISI? NA KWANINI TUITE JINA HILO KWANI HAKUNA JINA LA KISWAHILI?
ReplyDeleteKatika ujenzi huo hakuna bango la kutoa tahazari wala uzio,jee ikiwa mtu atazurika hapo katika kupita pita,iwe kwa miguu au kwa gari nani wa kumlaumiwa
ReplyDeleteInsurence company wanafanya kazi gani ? Serikali jee katika kulinda usalama wa raia ?