![]() |
| Misaada kwa wazee wasiojiweza wa Kinondoni, Dar |
Siku ya Jumamosi tarehe 11.06.2011 wakiongozwa na mwenyekiti wao Bi Rose Mwapachu wanachama wa Tushikamane Pamoja Foundation (TPF) walikuwa maeneo ya Kinondoni jijini Dar es salaam kutoa misaada ya vyakula vikavu wa wazee wasiojiweza na wanaoishi katika mazingira magumu.
0787 558550
0784 265560
0787 177077
utapata maelezo zaidi.
![]() |
| Wana TPF na wakinamama wazee wa Kinondoni |
![]() |
| Mama wa Kinondoni akipokea msaada |
![]() |
| Kikao cha TPF na wazee wa Kinondoni |






Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...