Kutoka Kushoto: Meneja Masoko Benki ya Exim Linda Chiza, Afisa Mtendaji Masoko wa Benki ya Exim Oscar Ruhasha, Israel Shasosa, Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya BancABC na Bw. Rished Bade kutoka Tanzania Mortgage Finance, wakifuatilia kwa makini uwasilishwaji wa ripoti ya ‘Banking  Survey 2011’ iliyotolewa na watafiti wa Serengeti Advisers wakati wa uzinduzi wa jarida maalumu lililobeba ripoti hiyo uliofanyika juzi mchana katika Hoteli ya Moevenpick Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 01, 2011

    Asanteni wadau wote wa sekta binafsi kwa kuendeleza njanja za takwimu na kumbukumbu rejea za habari za biashara. Hapo zamani hatukuwa na taarifa za kurejea kuhusu masuala ya ufanisi na matokeo ya shughuli za mabenki na sekta iyo kwa ujumla. Ripoti hii sasa inaungana au kuongezea ile ya Ernest & Young iliyotolewa mwanzoni mwa mwezi wa 5 hapo hapo Movenpick na ya sasa imetolewa ya Serengeti breweries. Thumbs Up kwa wote!
    alex bura, dar

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 01, 2011

    Please not that Bade is no more with barclays, is with Tanzania Mortgage Finance

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...