Kutoka Kushoto: Meneja Masoko Benki ya Exim Linda Chiza, Afisa Mtendaji Masoko wa Benki ya Exim Oscar Ruhasha, Israel Shasosa, Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya BancABC na Bw. Rished Bade kutoka Tanzania Mortgage Finance, wakifuatilia kwa makini uwasilishwaji wa ripoti ya ‘Banking Survey 2011’ iliyotolewa na watafiti wa Serengeti Advisers wakati wa uzinduzi wa jarida maalumu lililobeba ripoti hiyo uliofanyika juzi mchana katika Hoteli ya Moevenpick Dar es Salaam.
Home
Unlabelled
uwasilishwaji wa ripoti ya banking survey 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Asanteni wadau wote wa sekta binafsi kwa kuendeleza njanja za takwimu na kumbukumbu rejea za habari za biashara. Hapo zamani hatukuwa na taarifa za kurejea kuhusu masuala ya ufanisi na matokeo ya shughuli za mabenki na sekta iyo kwa ujumla. Ripoti hii sasa inaungana au kuongezea ile ya Ernest & Young iliyotolewa mwanzoni mwa mwezi wa 5 hapo hapo Movenpick na ya sasa imetolewa ya Serengeti breweries. Thumbs Up kwa wote!
ReplyDeletealex bura, dar
Please not that Bade is no more with barclays, is with Tanzania Mortgage Finance
ReplyDelete