Ankal, napenda kuwapongeza Gladness (juu) na Maureen (chini) Ndauka kwa kufanya vizuri sana kwenye mitihani yao kwa wote kushika nafasi ya kwanza darasani muhula wa kwanza mwaka huu, shule ya Msingi Changa-Tanga.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 15, 2011

    TUNAWATAKIA MASOMO MEMA WATOTO WAZURI TAIFA LA KESHO M MUNGU AWAPE FAHAMU ZAIDI YA HIZO MTIMIZE MALINGO YENU. HAKUNA KITU KIZURI KATIKA DUNIA YA LEO KAMA KUWA NA ELIMU YAKO NDO KILA KITU KWAKO.

    MICHUZI OYE OYEEEEEEEE :)


    YABINTY

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...