Mwendesha pikipiki anayefanya kazi ya kubeba abiria akipita kwa shida kwenye maeneo ya vifusi ambavyo mkandarasi ameshindwa kuvisambaza mjini Bukoba.

Vifusi vilivyorundikwa na mkandarasi anayetengeneza barabara ya Kashai,ambavyo vimekaa muda mrefu bila kusambazwa jambo linalohatarisha watuamiaji wa barabara hiyo ambao ni watembea kwa miguu na wenye magari na pikipiki. vifusi hivyo vinafanya barabara hiyo ipitike kwa shida manispaa ya Bukoba. 
Picha na Audax Mutiganzi wa Globu ya Jamii, Bukoba

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 08, 2011

    MWANDISHI NILIDHANI UNAZUNGUMZIA DEREVA WA PIKIPIKI KUHUSU HELMET AMEVAA YEYE PEKE YAKE LAKINI YA ABIRIA AMEIWEKA KTK USUKANI.HIVO VIFUSI LABDA MUMPELEKEE KIKWETE HIZO PICHA HALAFU AWAKUMBUSHE WAHUSIKA KAZI ZAO.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 08, 2011

    Obagambile babiyemu, Mbabaki si!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 08, 2011

    Mambo yale yale Meya hana habari Mbunge of course yuko Dar he could care less Diwani anaona ni mambo ya kawaida he has no one to answer to. Mpaka hapo kila mtu akiwa na uchungu wa nchi yetu ndio tutapata maendeleo especially hao viongozi wanaotudanganya kutumikia watanzia. Mpiga picha endelea na kazi nzuri labda itawashitua kidogo kwamba watu wamechoka na uzembe.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 08, 2011

    Wewe namba mbili kutoka juu umenivunja mbavu kweli..!!Umeandika lugha 'orijino'ya Wahaya.Utakuwa mwenyeji wa Kamachumu,au vijiji vya karibu na Bukoba mjini:(Kibeta,Maruku,Katoma,Katerero,Kagondo,etc)..mitaa hiyo ndiyo kuna hicho 'kihaya kizuri' wengine wanachapia.

    David V

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 09, 2011

    Kibeta, Maruku, Katoma na Kagondo eya Kalugulu Kyamuzinga na kagondo eyeifo hawa sasa tunatakiwa kuitwa Bakoba bila kuwasahau wenye ukoo wao ambao ni akina Jemes Rugemalira kutoka custom. Ndugu haya mambo yanasikitisha kwani siasa sasa imetawalia na wafanyabiashara tunajua diwani wetu yuko busy na shule yake, chonkai aba kagondo bakabona niwe okuna aina empiya niwe alabasa chokai omuhaya ati empiya tibutwazi, obutwazi ngesho ey,Omuntu azalwa naye. Inywe bayoza nagila nkwiba nkantushuba enyuma, bojo ntwenda Bukoba yaitu eyo abajungu basikile, nimubona buhanika(jengo la Halmashauri ya Bukoba Vijijini) lilijengwa na wazungu miaka hiyo ikijulikana kama Buhaya council haya yalitokana na maendeleo ya kilimo cha kahawa siku hizi hakuna cha kahawa wala zao lolote kwani viongozi wanaogopa kuhimiza kilimo ili wasikose kuchaguliwa, hili sasa linaimaliza Bukoba yetu, labda hutakuta hata meya hawezi kusema lolote au mbuge labda mkandarasi alisaidia kwenye kampeni za hawa ndugu kuchaguliwa.
    Inywe bahaya bojo imuka mwabamutasi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...