Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na wafanyakazi wa Mradi wa Ujenzi wa barabara ya Kenya-Chambani,(kwa Mtoro),alipotembelea hatua za kazi za hiyo,akiwa katika ziara Kisiwani Pemba,kuangali maendeleo ya shuhuli mbali mbali za kijamii.
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akiwasalimia Wazee na wanafunzi,alipowasili katika maeneo ya Mradi wa Ujenzi wa Skuli ya Sekondari Wilaya Ngwachani,Wilaya ya Mkoani Pemba,akiwa katika ziara zake za kuangali maendeleo ya shuhuli mbali mbali za kijamii.
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akikagua hatua za Ujenzi wa bara bara ya Kenya Chambani,Wilaya ya Mkoani Pemba,akiwa katika ziara maalun kuangalia miaradi mbali mbali ya maendeleo,katika Mkoa wa Kusini Pemba.
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akifurahia wimbo ulioimbwa na wanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Ukutini Pemba, wakati alipofika kuona maendeleo ya Ujenzi wa Skuli hiyo,akiwa katika ziara Kisiwani humo,kuangalia maendeleo ya shuhuli mbali mbali za kijamii.
Mke wa Rais akiwasalimia wananchi na wanafunzi katika Skuli Kizimbani Pemba.
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akikagua hatua za Ujenzi wa bara bara ya Kenya Chambani,Wilaya ya Mkoani Pemba,akiwa katika ziara maalun kuangalia miaradi mbali mbali ya maendeleo,katika Mkoa wa Kusini Pemba.
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akipata maelezo kutoka kwa Afisa kilimo Ali Mohamed Omar,katika Bonde la Mpunga kwa Kichwa,Ukutini Pemba ,wakati alipofika kuona maendeleo ya kilimo katika bonde hilo,sambamba na ziara zake katika Wilaya ya Mkoani Pemba kuona maendeleo ya miradi mbali mbali.
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akipata maelezo kutoka kwa Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Sekondari ya Ukutini Pemba,Maalim Ali Hussein,wakati alipofika kuona maendeleo ya Ujenzi wa Skuli hiyo,akiwa katika ziara Kisiwani humo,kuangali maendeleo ya shuhuli mbali mbali za kijamii.Picha na Ramadhan Othman

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 03, 2011

    Michuzi hembu iweke hii wazi hotuba nzuri sana za baba wa taifa juu ya Muungano. Tafadhali usiibane.
    http://www.juliusnyerere.info/index.php/media/audios/

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 04, 2011

    We people of Tanzania...why do we worship leaders so much. Mr. Blog ya jamii do we really need five pictures of the same person in the same event on the same day with the same clothes....you get the picture?
    And another thing...is it possible to go for a week without showing us some "leader" of whatever party. Skip wabunge, skip smiling leaders and for sure skip Kikwete for heavens sake.

    Show the business people selling peanuts and running shops in Kariakoo. No one ever got rich by working for the government.

    Mzee, I am your biggest fan but enough with the leaders, enough with the parties in Dar. Show us the truth of what is going on in Tanzania. Tell us who is responsible for EPA embezzlement, tell us why we can't resolve the traffic in Dar, tell us why we don't have enough electricity in Dar and corruption...oh God!! And the poor....we are one of the poorest nations....so do us a favor....stop showing us what these Tanzania leaders in western suits are doing FOCUS ON WHAT THEY ARE NOT DOING.....because ANKAL to be honest with you that is what we want....the TRUTH. Stop selling fantasy....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...