Home
Unlabelled
JK hosts Symbion Power Company boss Paul Hinks at Dar es Salaam State House
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
safi sana rais kikwete,jitahidi nchi yetu ipate umeme wa kudumu hautasahaulika hadi mwisho wa dunia, kidumu chama cha mapinduzi, zidumu fikra sahihi za mwenyekiti wa chama cha mapinduzi, idumu tanzania imara...god bless tanzania changa
ReplyDeleteI just love the way this company is doing their business!I just love symbion!
ReplyDelete"Likibuma tusiseme hatuwajui hii ni kumbukumbu nzuri sana wamefika mpaka Dar Es Salaam State House, leo tarehe 03/06/2011".
ReplyDeleteKumbukumbu.
Haya ndio mambo ,kwanini imechukua mda mrefu sana ?watu wametaabika na shida ya umeme miaka,kitu ambacho kinaweza kutatuliwa kwa mda mfupi na hakuna tna kero ya kukatiwa umeme,maana unapatiwa huduma unayolipia na sio unalipia pasipokuwa na huduma.
ReplyDeleteNyie vijana wenzangu mna pupa mnataka manna haipatikani hivi hivi. Hivi mnavyoviona leo havijakuwepo tulipozaliwa. Acheni ujinga maendeleo yaliyopatikana lazima tushukuru, kuponda ni kujifurahisha mwenyewe na msiojua shukurani, maana hata mungu hamjui kumshukuru sembuse binadamu mwenzako. Tukiwa pale chuoni kuna baadhi ya vijana wenzetu wana kila kitu, TV flat screen, fiji, jiko la umeme, pasi, carpet, mabirika ya maji ya moto kama yuko nyumbani. Lakini sio wote. Hivyo leo akimaliza chuo kikuu anataka awe tajiri kuliko alivyotoka nyumbani, anataka nyumba, gari, sofa set ya milioni 4, yaani ni ndoto za alinacha. Sisi ndio tunatakiwa kuwa wabunifu wa kuleta maendeleo pale walipofikia wazee wetu. Sisi tunaklaumu. Hivyo Huyo Slaa hapo 2015 atakapochukua madaraka, atafuta yote haya yaliyopatikana au ataanza wapi ili alete maendeleo, si ataanzia pale wenzake walipoachia. Wadanganyika kweli!!! lakini myonge nyongeni lakini haki iko pale pale.
ReplyDelete