Marehemu Mary-Stella Bhoke Wambura
HATIMAYE SAA, SIKU, WIKI, MWEZI NA SASA NI MWAKA MMOJA TANGU DADA YETU, RAFIKI YETU NA MFANYAKAZI MWEZETU MARY -STELLA ULIPOTUTOKA GHAFLA KWA AJALI YA GARI JULY 9, 2010.
WAFANYAKAZI WENZAKO WA TWIGA BANCORP TUNAUNGANA NA FAMILIA YAKO, NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI KUKUMBUKA KIFO CHAKO. INGAWA HAUPO NASI KIMWILI LAKINI KIROHO TUPO NAWE NA TUTAENDELEA KUKUMBUKA DAIMA MILELE.
MUNGU AIPE PUMZIKO LA MILELE ROHO YAKO AMINA.
Bwana alitoa, Bwana alitwaaa, jina la Bwana libarikwe.
ReplyDeleteMungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi, Aaamiin! Poleni sana ndugu wa marehemu na wafanyakazi wote wa Twiga Bancorp Limited
ReplyDeletePoleni sana ndugu wa marehemu poleni sana wafanyakazi wote wa Twiga Bancorp Limited, Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi, Aamin!!!
ReplyDelete