Marehemu Mary-Stella Bhoke Wambura

HATIMAYE SAA, SIKU, WIKI, MWEZI NA SASA NI MWAKA MMOJA TANGU DADA YETU, RAFIKI YETU NA MFANYAKAZI MWEZETU MARY -STELLA ULIPOTUTOKA GHAFLA KWA AJALI YA GARI JULY 9, 2010.

WAFANYAKAZI WENZAKO WA TWIGA BANCORP TUNAUNGANA NA FAMILIA YAKO, NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI KUKUMBUKA KIFO CHAKO. INGAWA HAUPO NASI KIMWILI LAKINI KIROHO TUPO NAWE NA TUTAENDELEA KUKUMBUKA DAIMA MILELE.

MUNGU AIPE PUMZIKO LA MILELE ROHO YAKO AMINA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 05, 2011

    Bwana alitoa, Bwana alitwaaa, jina la Bwana libarikwe.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 06, 2011

    Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi, Aaamiin! Poleni sana ndugu wa marehemu na wafanyakazi wote wa Twiga Bancorp Limited

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 06, 2011

    Poleni sana ndugu wa marehemu poleni sana wafanyakazi wote wa Twiga Bancorp Limited, Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi, Aamin!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...