WAZIRI WA BIASHARA,VIWANDA NA MASOKO,MHE. NASSOR AHMED MAZRUI AKITOWA UFAFANUZI KATIKA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI JUU YA SUALA LA KUPANDISHA BEI ZA KARAFUU LEO.
WAZIRI WA SHERIA NA KATIBA ZANZIBAR,MHE. ABUBAKARI KHAMIS BAKARI AKIWASILISHA HOUBA YA BAJETI YA WIZARA YAKE KWA MWAKA 2011/2012.

WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI,MH. SHAMSI VUAI NAHODHA AKIBADILISHANA MAWAZO NA MUWAKILISHI WA JIMBO LA MAGOMENI,MH. SALIMIN AWADH SALIMIN NJE YA UKUMBI WA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR LEO.












WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI,MHE SHAMSI VUAI NAHODHA KULIA AKIBADLISHANA MAWAZO NA WAANDISHI WA HABARI WA GAZETI LA HABARI LEO KHATIBU SULEIMAN NA MUANDISHI WA IDARA YA HABARI MAELEZO ZANZIBAR, JUMA MOHAMED NJE YA JENGO LA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR LEO.( PICHA NA HAMAD HIJA MAELEZO ZANZIBAR)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...