Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja (katikati) akijadiliana na Mbunge wa Jimbo la Sumve Richard Ndassa (kulia) na Kushoto ni Waziri wa Uwekezaji na Uwezeshaji, Dk. Mary Nagu ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Anan leo mjini Dodoma.
Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja akijadiliana jambo na baadhi wa wabunge mara baada ya kuwasilisha hotuba yake ya Makadirio ya Matiumizi ya Fedha za wizara hiyo kwa mwaka 2011/2012 Bungeni leo mjini Dodoma.
ni kwannini watanzania tuna-omit au ku-add "h" where its not needed? nimeona watu wengi huandika hacha instead of acha and hana instead of ana. In this post the writer wrote Anan, It is Hanang
ReplyDelete