Waziri wa Nchji Ofisi ya Waziri Sera ,Uratibu na Bunge akizungumza na (kulia) Mbunge wa Jimbo la Monduli, Edwad Lowassa(CCM) baada ya kutoka katika kikoa cha asubuhi cha Bunge leo mjini Dodoma.
Waziri wa Nishati na Madini ,William Ngeleja akija(kushoto) akijadiliana na Mbunge wa Jimbo la Kibakwe George Simbachawene mara baada ya kutoka katika kiko cha Bunge leo asubuhi.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini Kigoma Malima akipata maelezo ya jinsi mashine ya XRF inayotumika kungalia mafuta ya petroli yaliyochakachuliwa(kungalia vinasaba vya mafuta kutoka kwa Mnhadisi Mkuu wa Uchunguzi wa Mahabara kutoka katika Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji Melanie Kamugisha aliye kwenye gari.PICHA NA MAGRETH KINABO - MAELEZO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 19, 2011

    Hivi Naibu waziri wa madini kumbe ni Kighoma Malima??

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 19, 2011

    Kwanini mama Maajar ameanzisha kampeni ya kununua madawati wakati wabunge wanaweza kurudisha magari yao yote serikalini na tukapata pesa tosha za madawati na vitabu vya shuleni na vitanda ktk hospital esp. wodi za akima mama wajawazito.
    Kwani kipi bora kati ya magari ya wabunge-V8 na madawati+vitabu+madawa ya hospitali?
    Uzalendo upo wapi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...