Esterina Sanga ama ‘Linah’ kwa jina analofahamika katika uimbaji ambaye alikuwa miongoni mwa wasanii ambao walifanikiwa kuleta mapinduzi katika tuzo za muziki za ‘Tanzania Music Awards’ KILI 2011.
Katika Tuzo hizo Linah alipata tuzo ya Msanii Bora wa Kike 2010 ambako katika kundi hilo walikuwemo Lady Jaydee, Mwasiti, Shaa na Khadija Kopa. Jumapili ilopita alikuwa Njombe, mkoani Iringa, ambako alifunika bovu
Linah akiuteka mji wa Njombe Jumapili ilopita
Mbona madume matupu ndani ya hilo tamasha?
ReplyDelete