Mkuu wa Mkoa wa Kagera,Mohamed Babu akiangalia picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr Jakaya Kikwete iliyotengenezwa kwa mkono na kundi la walemavu la BUDAP linalofadhiliwa na kampuni ya utalii ya Kiroyera wakati wa maonyesho ya sabasaba yaliyofanyika Mkoani Kagera kwenye banda la CCM.
Mkuu wa Mkoa wa Kagera,Mohamed Babu akisiliza maelezo juu ya madawa ya asili yanayotengenezwa kutokana na mmea wa mulonge yanavyofanya kazi, mkuu huyo alikuwa akisikiliza maelezo hayo toka kwa Papianus Kamukuru alipukuwa akitembelea mabanda ya maonyesho ya saba saba yaliyofanyika mkoani Kagera kwenye jengo la CCM.Picha na Audax Mutiganzi,Bukoba.




Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...