WATANGAZAJI WA RADIO ONE STEREO MAULID KITENGE JEZI NO9 NA OMARY KATANGA MLINDA MLANGO WAKIWA WANATANGAZA HUKU WAKIWA WAMESIMAMA KUTOKANA NA PRESHA YA MECHI KATI YA YANGA NA RED SEAYA ERITREA KATIKA MCHEZO WA ROBO FAINALI YA MICHUANO YA KAGAME KWENYE UWANJA WA TAIFA JIJINI. KATIKA PAMBNO HILO YANGA ILIFUZU KWA NUSU FAINALI BAADA YA KUIONDOA KWA MATUTA RED SEA. KITENGE KAIFAHAMISHA GLOBU YA JAMII SASA HIVI KWAMBA KESHO ATAKUWA NESHNO NA TIMU YAKE YOTE KUTANGAZA LIVE MECHI YA YANGA NA SIMBA
Home
Unlabelled
MAULID KITENGE NA OMARY KATANGA WAKIWA MZIGONI NESHNO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...