Makamo wa pili wa Rais Zanzibar, Mhe Balozi Seif Ali Idd akiwa na Mazungumzo na Mfalme Wa jimbo la Ashanti la Ghana.
Makamo wa kwanza wa Rais Mhe Maalim Seif Sharif Hamad kulia akizungumza na Mfalme wa Jimbo la Ashanti Ghana katika afisi yake Migombani Zanzibar.
Makamo wa pili wa Rais,Mhe Balozi Seif Ali Idd akimkabidhi zawadi ya Kasha Mfalme wa Jimbo la Ashanti kutoka Ghana,Otumfuo Osei Tutu II wakati alipomtembelea katika afisi yake iliopo Vuga Mjini Zanzibar.
Makamo wa Pili wa Rais, Mhe Balozi Seif Ali Idd akiwa  kavaa Vazi la kitaifa La Ghana baada ya kuvalishwa na Mfalme wa Jimbo la Ashanti,Otumfuo Osei Tutu II wa Ghana.
Mfalme wa Jimbo la Ashanti kutoka nchini Ghana, Otumfuo Osei Tutu II akimvisha Vazi la Taifa la Ghana Makamo wa kwanza wa Rais wa Zanzibar,Mhe Maalim Seif Sharif Hamad wakati alipomtembelea Afisini kwake Migombani Zanzibar.
Waziri wa Nchi Afisi ya Rais na Mwenyekirti wa Baraza la Mapinduzi,Mhe Mwinyihaji Makame akimpokea Mfalme wa Jimbo la Ashanti la Ghana,Otumfuo Osei Tutu II Katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 13, 2011

    Jamani serikali wabaguzi mimi na mimi ni chifu kwenye kabila langu la wazaramo pale Kimanzichana najulikana kama Kolo mbona serikali haijawahi nialika ikulu walau hata kunipa pilau.Huyo wa Ghana ana nini hasa cha maana kikubwa kuliko mimi hadi mimi nisialikwe ikulu nipewe na mimi zawadi.Walau ya ubwabwa uliolala?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 13, 2011

    Huyo wa Ghana kajialika mwenyewe baada ya kuwapa taarifa kua anakuja nchini. na wewe wape taarifa kua unataka kwenda ikulu ila ueleze kabisa sababu maana huyo wa Ghana hajakuja kutalii, yupo kikazi.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 13, 2011

    naona dhahabu tu.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 13, 2011

    Wew huna NGO sasa unategemea nani atakujua?

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 13, 2011

    ebwanaee mfalme kapiga mabling bling kwa kwenda mbeleee.Ghana tambararee

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 13, 2011

    haya we, wamasai wakivaa rubega mwawacheka na huyu je? umuhumu wa kudumisha mila Tz

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...