Mgeni rasmi,Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT), Lut.Kanal Idd Kipingu pichani kati (shati la drafti) akiwaa pamoja na familia ya Renatus Boniface Njohole,usiku wa leo wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa taasisi ya michezo isiyo ya kiserikali alias Njohole Legend Foundation ndani ya hoteli ya Movenpick,jijini Dar.
Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT), Lut.Kanal Idd Kipingu pichani kulia akimkabidhi cheti cha uthibitisho mchezaji wa mpira ambaye kwa sasa anachezea nje,Renatus Boniface Njohole,usiku wa leo wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa taasisi ya michezo isiyo ya kiserikali alias Njohole Legend Foundation ndani ya hoteli ya Movenpick,jijini Dar. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Hatua nzuri na muhimu katika kuendeleza michezo Tanzania, tuko pamoja all the way ndugu yangu! Deo, Cardiff... Mpe shout wajina lol
ReplyDeleteAnkal na wadau wote, kwa Kiswahili shati la "drafti" si sahihi. Hilo ni shati la kunguru. Ahsante.
ReplyDelete