Ankal najua uko mwananyamala au tandale kwa mfuga mbwa ukifukuza mbu kwa maandalizi ya kulala. Mie nilikuwa njia panda ya kwenda ulaya (airport) nikichungulia dunia ndipo nilipomfotoa Mrisho Ngasa akikamata Mwewe la KLM kuelekea ubatani. Aliyevaa pull over ya manjano ni mzee Alex Kajumulo.

Ni mimi mjombako Jumaa Kanyama, alamsikSent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...