Mnuso mnuso Jamani!! tawi limeanguka jumapili
hii July 3rd "Camp Kee-Wanee"
New England umoja wanatimiza miaka kumi tangu kuanzishwa kuna mahanjumati ya hali ya juu Biriani ya Masalo na mapochopocho, nyama choma ,samaki wa kupaka jitahidi ufike mapema kwani kuna show za mwaka,zikifuatiwa na gwiji wa mitindo Asia Idarous Hamsini, waimbaji kutoka bongo,raffle ticket ya vitu mbalimbali kutoka nyumbani,mechi kali kati ya East na West Kombe Uwanjani safari hii west
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...