Rais jakaya Kikwete (mdogo wake JK) , akiwa katika picha ya pamoja na mkewe Mama Salma Kikwete na Bwana Harusi Yusuf Kikwete na Bi Harusi Mariam Ombaka baada ya kumeremeta mjini Bagamoyo Ijumaa hii. Kwa picha zingine kibao na Muhidin Sufiani BOFYA HAPA
Home
Unlabelled
Yusuf Kikwete na Mariam Ombaka walivyomeremeta mjini Bagamoyo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Mabruki Ust Mustapha. Nd Michuzi ungetuhabarisha vizuri hapa, je huyu Mustapha ndio nani?
ReplyDeleteHii nimependa sana kwakweli kwani ni harusi inaonesha iko kikawaida tu wala hujui kuwa huyu ni mdogo wake RAIS WETU wa nchi hii,
ReplyDeleteYaani iko simple tu, sio kama wengine harusi ya mdogo wake mmubnge tu wa nchi hii ndio tunaiyona vimbwanga vyake na ufuska ulivyojaa na kutumia mapesa kibao ile kuonesha kuwa mimi ni mtu wa DARAJA fulani
lakini hii ya mdogo wa rais wameifanya kama ya kwangu mimi na wewe tu haina mambo makubwa, ishallah mwenyezi mungu aiongowe ndoa hii na aitie barka na awape kizazi chenye kheri na nyinyi amin
hii harusi safii sana .....haina kuletwa khadija kopa wala MASHAUZI wakafanya UCHAFU wao na kujihashuwa mijitu mizima baada ya kukaa wakasali sala tano wao bado tu wanahangaika na ULIMWENGU, mustafa kikwete hongera sana
Amaitwa Yusuf Kikwete nafikili pamekosewa kuandika jina
ReplyDeleteKila la kheri Yussuf kwenye ndoa yako na mwenyezi mungu
awape kila lakheri na furaha ndaniya ndoa yenu INSHALLAH
Mpili R Mpili
HIVI JAMANI HILI TATIZO LA EMEME HADI LINI? AU TANZANIA TUMELOGWA. NA ALIYETULOGA KESHAKUFA!!!!!
ReplyDelete