Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad akipata maelezo ya jinsi ya kulima Uyoga kutoka kwa Mkurugenzi wa Bibeo Farm Hotculture, Gilbert Mshobozi wakati alipotembelea banda la wajasiriamali waliodhaminiwa na benki ya NMB katika Maonyesho ya 35 ya Biashara ya Kimataifa barabara ya Kilwa road jijijni Dar es Salaam leo. Kushoto ni Meneja Mawasiliano wa NMB, Josephine Kulwa
Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad akipokea kitabu cha ripoti ya mwaka 2010 cha benki ya CRDB kutoka kwa Meneja wa benki hiyo Tawi
la Kariakoo, Andrew Augustine wakati alipotembelea banda la CRDB katika viwanya vya Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa barabara ya Kilwa jijijni Dar es Salaam leo
  Makamu wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiongozwa na Waziri wa Fedha Mustafa Mkulo kutembelea banda la Wizara ya Fedha wakati wa maonyesho ya 35 ya kimataifa ya biashara ya Dar es salaam.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiongea na mwanafunzi wa Shule ya Academy ya jijini Dar es salaam Ernest Mwichumu leo jijini Dar es salaam wakati alipotembelea banda la PPF kwenye maonyesho ya 35 ya kimataifa ya biashara ya Dar es salam yanayoendelea leo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati wa uzinduzi wa Huduma Global Standard GS1 nchini Tanzania, ‘Mfumo wa utambuzi wa Bidhaa’Uliozinduliwa leo kwenye Viwanja vya Julius Nyerere Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipiga makofi mara baada ya kukata utepe kuzindua rasmi huduma mpya ya Mfumo wa Utambuzi wa Bidhaa Tanzania, (Global Standard 1 ), wakati wa uzinduzi huo uliofanyika kwenye Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, wakati walipokutana kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere katika Maonyesho ya 35 ya Biashara ya Kimataifa leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, DKt. Mohammed Gharib Biala, akisikiliza maelezo ya mjasiliamali, Angela John, kuhusu mashine ya Kusokota, wakati alipotembelea katika Banda la Sido kwenye Maonyesho ya 35 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi mtendaji wa Kampuni ya Power Electronics & Controls Ltd, Kayungi Kayungi, kuhusu Mashine ndogo inayozalisha Umeme kwa kutumia maji, wakati alipotembelea Banda la Sido kwenye Maonyesho ya 35 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...