South Sudanese children welcome to Juba President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete and The First Lady Mama Salma Kikwete shortly after they arrived to participate in the celebrations to mark the birth of the Republic of South Sudan held yesterday afternoon
The First Lady Mama Salma Kikwete receives a bouquet of flowers shortly after she arrived at Juba International airport, to participate in the celebrations to mark the birth of the Republic of South Sudan while President Dr. Jakaya Mrisho Kikwete looks on. The First Lady accompanied the President to South Sudan independence celebrations held yesterday afternoon in Juba.
 The South Sudan President General Salva Kiir Mayardit welcomes to Juba President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete shortly after he arrived to participate in the celebrations to mark the birth of the new Republic of South Sudan yesterday  afternoon.
President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete chats with the South Sudan President General Salva Kiir Mayardit in Juba yesterday afternoon during the celebrations to mark the birth of the new African Nation.Looking on in the centre is the First Lady Mama Salma Kikwete
President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete congratulates the first South Sudan Republic President General Salva Kiir Mayardit in Juba yesterday afternoon. Looking on, are the first Lady Mama Salma Kikwete and the Great Lakes Region Secretary Genera,l Ambassador Liberata Mulamula.
CHADEMA MP for Kigoma North Hn.  Zitto KABWE congratulates the first South Sudan President, General Salva Kiir Mayardit,  in Juba shortly after he was introduced by President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete(in the background).Hon Zitto Kabwe was part of the Tanzanian presidential entourage to the celebrations to mark the birth of the Republic of South Sudan. Photos by Freddy Maro

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 10, 2011

    Hongera sana South Sudan
    It's about time

    Mdau
    Toronto

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 10, 2011

    WENZETU WALIOENDELEA WANAUNGANA SISI TUNATENGANA,NI AIBU KUBWA SANA KUHUDHURIA SHEREHE YA KINAFIKI KAMA HIYO,LEO WAMEFANIKIWA SUDANI USIFIKIRIE KUWA TANZANIA IMEPONA KUHUSU HUU MGAWANYIKO HII NI KAMPENI YA MAGHARIBI NA NI YAMUDA MREFU SANA SIOMBEI HILO LITOKEE BALI MWENZIO AKINYOLEWA WEWE TIA....,WAGAWANYE UWEZE KUWATAWALA VIZUURI.NASI TUMEWAPIGIA MAGOTI.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 10, 2011

    nafikiri huyo jamaa ni bodigadi manake ni mrefu kweli angefaa sana NBA, Hashim take notes, mwenzako kawa bodigadi so na wewe angalia ustaarabu mwingine pia sio tu mpira halafu mama yetu kapendeza sana ila hiyo pochi ni No No yale madhahabu mie ndio yamenimaliza kabisa. jamani kina dada tuangalieni sio tu majinzi hata vitenge vyetu vinaweza kututoa tu.

    good job mama mkapa endelea hivyo hivyo

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 10, 2011

    Kwa mlio karibu na Rais Kikwete sisi watanzania tunaoshi South Sudan tunaomba sana afikirie kufungua ubalozi hapa Juba na pia wafanyabiashara wa Kitanzania ikiwa ni pamoja na Mabenki wafanye utafiti na ikiwezekena wawekeze hapa South Sudan. Biashara zinazofaa ni kama kuuza mazao mbalimbali, biashara ya mafuta, ujenzi na pia watu wanaweza tafuta ardhi na kuwekeza kwenye kilimo. Naomba kuwasilisha.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 10, 2011

    Huyo anonyous wapili anyesema wanzetu waungana cc tunatengana point yako ni nzuri lakini kwa south sudan nawaunga mkono kwa kujitenga maana wshateseka sana nalsilimali zao zote zikuwa zinaifaidisha North sudani sasa wamejitenga kilichobaki nikuijenga nchi yao

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 10, 2011

    waongo wakubwa nani wanaungana muungano wa kinafiki? SCOTLAND TAYARI WANAJIANDAA KUJITENGA 2012 NA NDIO MAANA SCOTLAND SCOTTISH NATIONAL PARTY KIMENYAKUA VITU VYOTE,BELGIUM KILA SIKU WANATUIZWA WANATAKA KUJITENGA -YUGOSLAVIA IKO WAPI? HIVI NI NCHI GANI YA ULAYA ILIUNGANA NA MWENZAKE KATIKA ZILIZOENDELEA?
    TUNATAKA NA TANZANIA PIA ZIWE NCHI MBILI TANGANYIKA IRUDI RASMI MAANA SASA IPO LAKINI SIO RASMI.

    UKISIKIA JUMUIA YA ULAYA NI JUMUIYA NA SIO NCHI MOJA WALE WANAUNGANA KWA MAMBO FLANI TU NA KILA NCHI KIVAKE,USIANGALIE MAFANIKIO YA USA UKAFIKIRI NA NCHI NYENGINE NI SAWA .

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 11, 2011

    hata sisi wa shinyanga tujitenge maana rasilimali zetu (dhahabu na almasi)zinaishia dar na zanzibar.

    kwa hapa, bado zenji tuu.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 11, 2011

    Wow, wanakazi, kwani nchi yao wanapata uhuru huku wakiwa maskini wa kutupwa. Wana-mafuta, sasa tuone kama mwafrika inayepata uhuru 2011 anaweza kupiga maendeleo ya haraka haraka bila kufuata siasa za kijinga.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 11, 2011

    nimefurahia uwepo wa Kabwe hapo.........GOOOD!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...