Home
Unlabelled
Swali la Kizushi: Babu wa loloindo anaendelea kugawa vikombe?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Dr. US Blogger)
ReplyDeleteHicho kikombe anayefaa kupewa ni nabii feki Nabii Yohana Mashaka. Inabidi apewe hicho kikombe ili aache mambo ya kuwafanya wachina waonekane kama wanyama ambao wanataka tu kupora nchi yetu. Wachina ni watu wazuri sana, wanatusaidia katika kila nyanja. Bila wachina siku hizi tuisngekuwa na chakula cha kutosha. Ni wachina watatuwezesha kuvaa vizuri kwa bei rahisi sana
Mimi kama msomi aliyebobea kutoka chuo kikuu cha OXford cha Lodon, nimemuomba huyu nabii aje kwenye mjadala lakini wapi ananikimbia kama mtoto mdogo, kazi ni kutuma makombora makubwa ktuka uhamishoni.Anatetea mada zake kwamba hawa wageni watamaliza kila kitu, madini na mali asili.
Hivi huyu Mashaka kasomea uchumi wapi? Wao ndio walioaribu uchumi wa dunia, mbona hata siku moja sijamsiki amshaka akiwalaumu wamarekani? kazi ni kuponda wachina tu? Bila wachina tusingeweza kungalaia TV, wala tusingekuwa na mafriji za bei Raisi. Mashaka leta oja nyingine la wachina umeshinda
Bado nakusubiri tukutane kwenye televisheni ya taifa TBC ili nionyeshe kwamba wewe ni fraud tena ni mtu ambaye hayupo. Wewe ni ni jini tu Michuzi ametengeneza ili blogu yake izidi kupata umaarufu. Kwa maana ni wewe tu ukiandika watu wanatiririka kama utitiri kuchangia. Wewe kama mwanamke, njoo basi kwenye mjadala. Nitakulipa na wafanya kazi wako wote.... naongeza dau hadi $3million ili ushirki kwenye mjadala.
Mimi ndio mchumi bora zaidi hapa Tanzania, nimeshauri nchi nyingi sana, angalia uchumi wa Zimbabwe unarudi kwa sababu yangu. Mshaara wangu kwa mwaka ni $5million kwa hiyo hela siyo shida kwangu. Usiogope nirtakulipa pamoja na tiketi yako. Najua hauwezi kujinunulia tiketi kwenda Tanzania
Dr. US Blogger
Alumni Oxford University
Economics Department
Watetezi wake wote kichwa chini na hamna cha kupona wala kupata nafuu.Ni ujanja ujanja tu.Bilashaka mnaweza kuona nguvu ya imani sasa.
ReplyDeleteBABU YUPO KAJAA TELE. WATU BADO WANAENDA ILA SIO UMATI WA KUTISHA KAMA ULE. WAANDISHI WA HABARI WAHATANGAZI KWA VILE VIONGOZI WOTE WAMESHAENDA NA KUPATA KIKOMBE SASA WATAANDIKA UMBEA GANI? MAANA KAZI YAO NI KURIPOTI UDAKU NA SI MAENDELEO. UKITAKA KUAMINI KULE LOLIONDO MAMBO YA KUONGELEA YA MAENDELEO YAPO KIBAO WAO WAKAJISHUGHULISHA NA SURA ZA VIONGOZI. NDO MAANA WANAONA SASA HAKUNA HABARI YA KUANDIKA
ReplyDeleteTapeli mkubwa!!!!!!!!
ReplyDeletewatu wengi waliokwenda kule wamekufa kimyakimya
kwa kuacha dozi zao. Aibu sana kwa vyombo vya habari
na walokua wakimtukuza.
Babu inabidi akamatwe maana ametikisa nchi kwa ujanja ujanja nalilia nchi yangu bado iko kwenye enzi za ujima.mpaka wasomi hawaelekei kuwa na msimamo wa nini kufanya
ReplyDeleteus bloger grow up!
ReplyDeletehakuna mambo ya kikombe wala nini, watu wanahitaji maombi tu-2, kama mzee mkandamizaji alivyosema hapo?
ReplyDelete= = =
buffalo,
new york
Hilo si suala la KISHUSHI bali ni la KIMBEA/UDAKU!!
ReplyDeletembona babu mwenyewe siku hizi napata bakuli la supu ya mawe la vichaa
ReplyDeleteUS bloger, sidhani kama una elimu ya kubobea kama unavyodai. Maneno yako hayaendani na mtu msomi.Kwanza umeleta wrong mada in the wrong place. Kama ni kweli umesoma, basi hujaelimika!Kusoma na kuelimika ni vitu tofauti sana.
ReplyDeleteNani kapona?
ReplyDeleteAbeid, Hakuna aliyepona ila waliokufa ni wengi katika harakati za kufuata kikombe na wengine baada y akupata kikombe, Bubu wa LOLIONDO ni satanic Servant, na amefanikiwa sana kwa hilo.
ReplyDeleteMMMMMMMMMmmmhhhhh wajameni huyu mdau wa Oxford University amelewa au ndo depression za wapiga box? Wachina na Babu wapi na wapi? Eti hao ndo wasomi wanakuja kuiongoza nchi yetu. No mbaki huko huko, kwanza we kama upo US habari za nchi unazipata za kizushi tu na umbea kama msomi kweli fanya research kabla hujasema. Kwanza unasomea nini? Kama mna bifu zenu mkapigane hadharani tuwaone au mkachague chicken or fish badala ya beef. Nakusaidia tu kama msomi mwenzio angalia wamachinga wanavyo fukuzwa na mgambo/polisi halafu haohao wanavyotukuza wachina ndo utambue thamani ya mgeni na mtoto wako ulie mzaa. Maskini pole labda hujui kuwa tunafunga na kuomba Wachina watendewe kama wanavyotendewa wamachinga na wamachinga watendewa kama wanavyo tendewa wachina maana wana haki katika nchi yao na wachina wana haki nchini kwao si Tz. Kama umetumwa na Serikali tell them we hate the rules the have now badly, coz is for their benefits and their families. Not for all people. Kama hujui kifo nenda msibani na kama hujui vita vinavyotafutwa sasa hivi kwa watz angalia Libya.
ReplyDeleteMi nasema kuwa habari za kupona ni ngumu kuzipata kwani wengi hawakupima kabla ya kunywa dawa. Na walio kufa ndo hivyo Mungu aliwapangia kwani huwezi kufa kwa makusudi ya mwanadamu Mungu ndo ana siku za kuzaliwa na za kufa.
MSOMI WA OXFORD UNIVERSITY ANASEMA MCHINA NI WA MUHIMU MKUU NILIKUWA NAOMBA UNGEANDIKA SABABU ZA KISOMI AT LEAST MBILI ZINAZOSUPPORT UMUHIMU WA MCHINA KATIKA KUKUZA UCHUMI WA NCHI
ReplyDeleteMIMI NAPINGA VITU FEKI VINAVYOUZWA NA WACHINA KWASABABU ZIFUATAZO
1. WAFANYABIAHSARA WANAGOMBANIA DOLAR ILI WAWEZE KUENDA CHINA KULETA VITU FEKI HIVYO INAPELEKEA DOLAR KUWA EXPENSIVE UKIANGALIA PESA YETU MIAKA MICHAHE ILIYOPITA ILIKUWA 1200 MPAKA 1300 SASA IPO DOLAR 1630 SI KWASABABU LABDA SERIKALI IMEAMUA KUFANYA DEVALUATION YA CURRENCY YETU ILI KU SUPPORT EXPORT YA BIDHAA ZA NDANI LAKINI NI KWASABABU DEMAND YA DOLAR IMEKUWA KUBWA SANA MANA SASA KILA MTU ANAWEZA KUENDA CHINA KULETA VITU FEKI NA MADHARA YA PESA YETU KUFA THAMANI INAPELEKEA HATA HIVYO VITU FEKI KUWA EXPENSIVE WAKATI DURATION YA KUTUMIA NI NDOGO KWA MTAZAMO WANGU NAONA NI BORA TANZANIA TU IMPORT VITU VYA STANDARD YA KATI SIO FEKI VYA KICHINA ILI WATU WAKINUNUA WAKAE NAVYO MUDA MREFU KULIKO SASA MANA WATU WANANUNUA MFANO FRIJI LAKI 6 INAKAA MWAKA MMOJA IMEKUFA SI NI BORA MTU ANUNUE FRIJI KUTOKA JAPAN DOLAR 1000 NA AKAE NAYO MIAKA 6 MANA KAMA SERIKALI IKIWEKA MGOMO WA BIDHAA FEKI WANACHI STILL WATAJIPIGA PIGA WANUNUE BIDHAA ZENYE STANDARD NZURI ZILIZOPO SOKONI NA TUTAKUWA PIA TUMEIMALISHA VIWANDA VYA NDANI AMBAVYO VINGI VINAKUFA KWASABABU HAVIWEZI KUSHINDANA NA BEI ZA MCHINA NA KWAKUWA TANZANIA WASOMI WALIOERIMIKA WACHACHE NA WENGI WETU HATUJASOMA KABISA BASI TUNAKIMBILIA VITU VYA BEI RAHISI BILA KUANGALIA JE UCHUMI WA NCHI YETU UNAELEKEA WAPI
2. HIVI BALANCE OF PAYMENT YA NCHI YETU IPOJE MANA NINAVYOJUA MIMI KUTOKANA NA VITU FEKI VYA MCHINA KURUHUSIWA NCHINI BASI IMPORT IMEKUWA KUBWA SANA KULIKO EXPORT NDIO MANA DOLAR IMEKUWA EXPENSIVE NA JE EFFECT YA IMPORT KUWA KUBWA KULIKO EXPORT INATUSABABISHA NINI?
MSOMI WA OXFORD NAOMBA UNIELEWESHE KUHUSU YAFUATAYO HIVI KIPI BORA KUNUNUA KITU ILI USIFIWE NAWEWE UNACHO AU UNUNUE KITU KIKUSAIDIA MANA KATIKA MAELEZO YAKO UMESEMA MCHINA AMETUWEZA HATA WATU WANAUWEZO WA KUNUNUA FRIJI WAKATI ASINGEKUWA MCHINA INGEKUWA NGUMU KUNUNUA FRIJI WELL JE WEWE KAMA MSOMI UNASUPPORT WATU KUNUNUA KITU AMBACHO WATAKITUMIA KWA MIEZI 5 ILI MRADI AONEKANE ANACHO NA JIRANI NA KILA BAADA YA MIEZI MITANO KINAKUFA MIMI BINAFSI NILIFANYA UCHUNGUZI WANGU NIKAONA NI BORA MTU ANUNUE FRIJI DOLAR 1000 KULIKO LAKI 6 YA KICHINA MANA HUYU ALIYENUNUA DOLAR 1000 ATAKAA NALO MIAKA 10 NA HUYU WA LAKI SITA ATAKAA NALO MIEZI 6 NA KILA BAADA YA MIEZI 6 ITABIDI ANUNUE LINGINE CALCULATE BAADA YA MIAKA 10 ATAKUWA AMETUMIA KIASI GANI ILI KWAKE KILA SIKU FRIJI LIFANYE KAZI
CONCLUSION
JE MSOMI WA OXFORD HUKO ULIKO KWANINI WANAPINGA BIDHAA FEKI ZA KICHINA NA WANA MAENDELEO JE KWANINI SISI TUKUBALI KUUZIWA BIDHAA FEKI HUKU TUKITEGEMEA MAENDELEO YATAKUJA WAKATI HATUNA MODEL INAYOTUUNGA MKONO KUWA BIDHAA FEKI ZINALETA MAENDELEO KATIKA NCHI MANA NCHI ZOTE ZINAZOENDELA NA ZILIZOENDELEA WANAPINGA BIDHAA FEKI KUTOKA CHINA SASA IWEJE SISI TUENDELEA KUKUZA UCHUMI WA CHINA KWA KUNUNUA VITU FEKI
MSOMI WA OXFOPRD KAMA VITU TUNAVYOUZIWA KUTOKA CHINA NI VIZURI MBONA WACHINA HAWAUZI HIVYO VITU NDANI YA NCHI YAO AU LABDA HILO HUJUI KUWA VITU VINAVYOUZWA NDANI YA CHINA KWA AJILI YA WATU WANAOISHI CHINA SIO SAWA NA WANAVOLETA TZ JE UNAJUA EFFECT ZA BIDHAA ZA KICHINA KWA MAISHA YA BINADAMU NAOMBA UNGECHUNGUZA AU UNGEFANYA RESERCH NINI MADHARA YA VITU FEKI KWA AFYA YAKO
MWISHO WACHINA WANAUZA BIDHAA ZA STANDARD 3 AMBAZO ZINAPELEKWA SEHEMU TOFAUTI SIPINGII KUNUNUA BIDHAA ZA CHINA BALI NAPINGA KUUZIWA BIDHAA FEKI ZENYE MADHARA KWA AFYA ZETU NA UCHUMI WETU SORRY KWA KUANDIKA MADA HII KATIKA SEHEMU HII LENGO LANGU NI KUFIKISHA MAWAZO YANGU KWA MSOMI WA OXFORD
JE KAMA MSOMI HAUJAFIKILIA KAMA MCHINA ANASAIDIA UCHUMI WA TANZANIA KWANINI NCHI ZILIZOENDELEA HAZIRUHUSU FAKE PRODUCTS ZA MCHINA KWANI
2.
Watu bado wanakunywa na wanazidi kumiminika, tena wanatoka nchi za nje kikubwa na wakenya wamechukulia kama dili lao........... anatangazwa sana Kenya.
ReplyDeleteMpaka sasa matokeo ni Babu wa Loliondo 2 wachovu wa kufikiria (watanganyifu) 0.
ReplyDeleteHow do you expect to be led by stupid rulers! Surprise, surprise ...a minister responsible for .... was seen shoving and pushing others to get ahead of the line to receive "kikombe".
I wish I had power and real kick some butts as they do in civilized countries. How could these big shots mislead the country about unproven effectiveness of "kikombe". Its a shame. We don't have real intellectuals who can analyze issues. We just have a bunch of phony, fake weaklings with a lot of BS who feed us crap. I was disgusted when I saw those so called "viongozi" with their big bellies on front pages of papers drinking Babu's kikombe. I was like damn, that's all they got for us, that's their solution to our poor health. Man, we are in big trouble, big changes in leadership are needed in these regions of Tanzania.
Mshikaji wa CAPITAL LETTERS una-point lakini fuata sheria za net, wacha ku-shout.
ReplyDeleteMtoto wa kaka yangu tumempima mara nne na ukimwi alioachiwa na baba yake umepukutika kabisa. Wewe ukitaka amini usipotaka acha cha muhimu ni kuwa wapo waliopona kabisa hasa ukimwi.
ReplyDeleteusituharibie chuo tulichosoma wengine tafadhali, watu watadhani waliosoma Oxford ni hayawani, umeleta mada tofauti na kilichoulizwa, pili sababu zako za chini kabisa hata std seven angekuzidi kuelezea. So usitudanganye kuwa we ni msomi laa hujaelimika au umesoma hadi ukachizika!
ReplyDeleteBabu hanaubavu wa kutibu ukimwi.Mimi nipo katika taasisi moja maarufu ya utafiti na tumechua sampuli za zaidi ya watu 25 waliyoenda kwa babu lakini wote bado ni negative.Kwa hiyo mpaka sasa sijui anatibu waakina nani?
ReplyDeleteMzee wa Ifakara
msimlaumu mchina kwani hao wazungu wenu na mashirika kibao wanaleta nini hapa zaidi ya ufisadi na unyang'anyi? wanatuletea misaada ya condom hivi kweri hawa wanatupend? long live mchina, long live TAZARA, long live Uwanja wa Taifa Long Live Mabasi saafi ya yutong Long Live Sunlg Long live china mobiles tv and name it u'll find mcina lakini kwa wanzinzi mtakuta condom tu ndi misaada yao na kusaka ugaidi
ReplyDeleteMshahara wa mtu ni laki 6 na kila mwezi inabidi annue vitu mana kila mwezi vitu vya kichina alivyonunua vinakufa je huyu mtu ataweza kweli ku save pesa siku moja ajengee nyumba imagine huyu mtu kama alikuwa ana save muda mrefu na kununua vitu vya standard nzuri na akishanunua anasahau kabisa suala la kununua vitu hivyi tena mpaka miaka kumi ijayo
ReplyDeletewell kama serikali ya isingeruhusu vitu feki nchini kama nchi zingine zilizoendelea hata mishahara yetu ingekuwa inatosha kabisa lakini sasa malalamiko ya mishahara hayaishi kwasababu mahitaji ni mengi hasa ya kununua vitu feki ambavyo kila mwezi lazima watu wanunue tena
je ulishafikilia kuwa hata nyaya za umeme watu wananunua feki za kichina wakipunguza garama za ujenzi na serikali inaruhusu matokeo yake nyumba zinawaka moto kila mwaka kwasababu ya waya za umeme,soketi walizofunga ni mbovu matokeo yake watu wanachanganyikiwa mana nyumba umemcost pesa nyingi na baada ya miaka kadhaa inawaka moto je hapo faida ya bidhaa za mchina zipo wapi naomba ufafanuzi
je unajua kuwa ajali nyingi zinazotokea zinatokana na kupasuka kwa matairi ambayo mengi yanatoka china je haya matairi ya mchina yana sababisha vifo vya watu wangapi? kwa mwaka na nchi zingine hasa zisizotumia au kuruhusu matairi hayo feki wana ajari ngapi kwa mwaka ukilinganisha na tanzania nchi ambayo ajari kila siku zinatokea sisemi kuwa ajali zote zinatokana na matairi mababovu bali asilimia kubwa za ajali tunazosikia na tairi za mbele kupasuka sasa kwakweli msomi wa oxford nashidwa kuelewa umesoma kweli au umesoma ila kuelimika imeshindikana mana wasomi wanatakiwa kuwa wa kwanza kupinga nchi yetu kuwa dumping ya vitu feki vya kichina mana toka mchina amenza kuleta vitu feki tanzania je uchumi wa nchi umeendelea na je unajua kuwa deni la tanzania linaongezeka badala ya kupungua na haya yote inasababishawa na nini hasa endapo maendeleo yanaletwa kweli na vitu feki
watanzania wenzangu kamwe msikubali kufuata ushauri wa wasomi feki kama msomi huyu anayedai wa oxford mana siku zote mtu akikwambia kuwa njia hii ni salama lazima akupe model ambayo itawaongoza sasa kama vitu feki vya mchina vinaleta maendeleo mbona hamna nchi hata moja yenye maendeleo inayoruhusu vitu feki kuwaimported ndani ya nchi yao sasa iweje sisi tumsikilize msomi feki wa oxford kuwa mchina ni mzuri eti bila mchina wengi wasingekuwa na tv sasa kuna umuhimu gani wa kuwa na television ambayo nitatakuwa kununua nyingine kila baada ya miezi michache si bora nijipange hata kwa miaka miwili kisha ninunue tv amabayo nitaitumia hata miaka 10 bila kuwaza kununua tv mpya hata kesho nikifa basi watoto wangu watakuwa na cha kurithi
mimi nakumbuka zamani kabla ya haya mambo ya mchina hayajapamba moto tanzaniababa yetu alituletea magodolo kutoka south afrika ma hayo magodolo yalikaa miaka 16 je kama baba yetu alinunua godolo za mchina nafikili miaka mingi sana tulitakiwa kulala chini mana miaka michache alifariki na kutuacha tukilalia godolo alizotununulia mpaka tulipoanza kujitegemea wenyewe na mpaka sasa hizo godolo zipo kijijini kwa mama
narudia tena sipingi bidhaa za mchina kuuzwa tanzania ila napinga bidhaa feki za mchina kuruhusiwa ndani ya nchi yetu
mmeiona ripoti ya wizara ya afya? kikombe cha babu so far kinasaidia kupunguza au kudhibiti magonjwa nyemelezi. Pia ili kuthibitisha kama wanapona inabidi kupima virus sio antibodies kwa sababu HIV nyingi zinapimwa kwa kucheki antibodies na antibodies zinaweza kuchukua hata zaidi ya mwaka kuondoka kabisa mwilini.
ReplyDeletehuyo msomi naona alikuwa anatafuta pa kutolea donge, jamani ukiwa na tatizo unaweza kuonekana kama huna mpangilio wa mambo na mongezi, tehe tehe ha ha ha haaaa!