Makamo wa pili wa raisi wa Zanzibar Balozi Seif Iddi akiangalia kazi za mikono na utengezaji wa fimbo kutoka Oman katika Jumba la Ajabu la Beit el Jaib, Unguja.
| Waziri wa utamaduni wa Oman akitoa hotuba katika ufunguzi wa wa maoneysho ya tamasha la utamaduni wa Oman. |
Mtalii akipata maelezo ya kutoka wa mcheza ngoma za kiutamaduni kutoka taifa la Oman.




hivi ndio wanarudi nin waarabu kidogo dogo kama CCM walivosema akipata CUF WAARABU WATATAWALA?
ReplyDelete