Wachezaji wa timu ya Yanga,Keneth Asamoah (kushoto),Nadir Haroub "Canavaro" (pili kushoto) pamoja na Davies Mwape (pili kulia) akiwa na baadhi ya wafyanyakazi wa BM Executive Barbershop iliopo Kinondoni Manyanya,pindi wanandinga hao walipoenda kupata huduma.Yanga inajitupa uwanjani leo kumenyana na timu ya St. George katika mashindano ya Kagame-Castle Cup.
Keneth Asamouh (kushoto),Davies Mwape (katikati),Nadir Haroub "Canavaro" wakiwa ndani ya BM Executive Barbershop.
Mlinda mlango wa timu ya Yanga,Yaw Berko akipatiwa huduma na mmoja wa wafanyakazi BM Executive Barbershop iliopo Kinondoni Manyanya,jijini Dar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 08, 2011

    Nyinyi hamjashinda tayari mmeanza "usharobaro"

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...