Jerry na Doreen wakiwa na marafiki wa karibu wakati wa mnuso wao ukumbi wa Cassa hall Mikocheni kwa Mwalimu jijijini Dar baada ya kumeremeta katika kanisa la St Peters
Maharusi wakifungua dansi
Wawili kama hua.
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongereeni sana.Mmependeza..Hiyo ni safari mliyoianza ni ndefu kweli kweli siyo mchezo,inahitaji uvumilivu.(Mimi nina miaka 10 naifahamu vizuri)Mambo ya kuitana honey...sweet acheni..Sasa ni kutamka "mke" wangu..."mume" wangu(ngumu kidogo kutamka hayo maneno lakini mtazoea)..badala na kusema 'naenda kumpokea mrs./mr. wangu' sema 'naenda kumpokea MKE/MUME wangu'.Vinginevyo mmependeza.
ReplyDeleteNi mimi
David V