Wafanyakazi wa kiwanda cha kuzalisha soda cha Coca Cola Kwanza, kilichopo Mikocheni jijini Dar es Salaam, wakiwa katika mgomo wao jana asubuhi. Wafanyakazi hao waligoma wakishinikiza uongozi wa Kiwanda hicho uwaongezee mishahara.
Baadhi ya wafanyakazi wakiongea na waandishi wa habari.
Kiongozi wa TUICO alifika kuwatuliza wafanyakazi hao na kuahidi kuzungumza na Menejimenti ya Kiwanda hicho.Mpaka  majira ya saa sita mchana jaan,mgomo ulikuwa unaendelea na Uongozi wa kiwanda hicho ulikataa kuzungumza chochote na waandishi wa habari.Picha zote na Victor Makinda

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...