Home
Unlabelled
GADO LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
ahahahah kazi itakuwepo hapo
ReplyDeleteDuh, Gado ni noma. Yani hapo atakaejifanya anatoa shilingi tu kinanuka upyaaa!
ReplyDeleteni kweli hapo usishangae kukanza makundi yatakayopigana wenyewe kwa wenyewe. ni kama game fulani. ukikaa na mzungu sana ukamjua ndani nje wala hupati tabu.
ReplyDeleteKazi ipo hapo, wahenga alisema kupindua seriakli sio kazi, kazi ni kuongeza iyo serikali.
ReplyDeleteWe weeeeeeeee!!!!!! Gado kiboko
ReplyDeleteWekeni akiba ya chakula na misaada mingine kuisaidia Libya. Nyumba ya karata ishavurujika. Hawa basi tena katika 3rd world watashika mkia. Kwanza wanadaiwa na NATO kwa kuwasaidia vita, wazungu wametengeneza mrija wa mafuta mpaka dunia inakwisha. Na nasikia mafuta ya Libya ni Grade 1. Gadari bora meza sumu uondoke usiione Libya iliyoangamia, Mungu atakulipia. Mbona Korea ya Kaskazini NATO haithubutu kwenda. Who's next.
ReplyDelete