Kaka Michuzi, Natumai u mzima.
Ankal wako Abdulrahim jana ametimiza miaka 2 ya kuzaliwa kwake,na hapa Ankal Abdulrahim alikuwa akizima mshumaa uliokuwa juu ya keki yake ya besdei huku chozi likimtoka kwa machungu ya kutoamini kama ni kweli kagonga namba mbili.
Mdau - Zuberi
Kekizz ya Besdei ya Ankal Abdulrahim.
Abdulrahim akiwa kabebwa na wazazi wake

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Hongera Abdulrahim na walezi pia kwa kazi yenu njema

    ReplyDelete
  2. Ephata SozigwaAugust 12, 2011

    Hongereni wazazi na hongera Abdul safari bado ndefu lakini,inshallah Mungu atasaidia.

    uncle wa Espoo.

    ReplyDelete
  3. inshaalah uncle ibra mwenyezi mungu akujaalie katika maisha yako ukuwe vizuri na upate baraka zote za wazazi wako. upate afya njema na upate maadili mema pia, pia hongereni wazazi wa uncle ibra

    ReplyDelete
  4. Aise mpe hongera huyo dogo..mungu ambariki..Wanakua hao kama nini..mtakuwa mnamwona anazidi kurefuka halafu nyie mnajiona mko pale pale.Mimi huwa naona watoto wangu wanakua halafu mimi najiona niko vile vile!

    ReplyDelete
  5. jamani wee mdau uliyeleta hii pic na maelezo umepinda.eti chozi limemtoka kwa vile hakuamini kagonga namba 2!kwi kwi kwi..nways, happy birthday Abdulrahim..May Allah bless you.

    ReplyDelete
  6. happy birthday abdulrahman i wish you all the best mwanangu na hongera dada chaby na ka zuberi kwa kukuza

    ReplyDelete
  7. Happy Birthday Abdulrahim! Lots of Greetings from your Best Friend Donald OC. Mungu wetu akutangulie katika kila jambo!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...