Kaka Michuzi, Natumai u mzima.
Ankal wako Abdulrahim jana ametimiza miaka 2 ya kuzaliwa kwake,na hapa Ankal Abdulrahim alikuwa akizima mshumaa uliokuwa juu ya keki yake ya besdei huku chozi likimtoka kwa machungu ya kutoamini kama ni kweli kagonga namba mbili.
Mdau - Zuberi
Kekizz ya Besdei ya Ankal Abdulrahim.
Abdulrahim akiwa kabebwa na wazazi wake
Hongera Abdulrahim na walezi pia kwa kazi yenu njema
ReplyDeleteHongereni wazazi na hongera Abdul safari bado ndefu lakini,inshallah Mungu atasaidia.
ReplyDeleteuncle wa Espoo.
inshaalah uncle ibra mwenyezi mungu akujaalie katika maisha yako ukuwe vizuri na upate baraka zote za wazazi wako. upate afya njema na upate maadili mema pia, pia hongereni wazazi wa uncle ibra
ReplyDeleteAise mpe hongera huyo dogo..mungu ambariki..Wanakua hao kama nini..mtakuwa mnamwona anazidi kurefuka halafu nyie mnajiona mko pale pale.Mimi huwa naona watoto wangu wanakua halafu mimi najiona niko vile vile!
ReplyDeletejamani wee mdau uliyeleta hii pic na maelezo umepinda.eti chozi limemtoka kwa vile hakuamini kagonga namba 2!kwi kwi kwi..nways, happy birthday Abdulrahim..May Allah bless you.
ReplyDeletehappy birthday abdulrahman i wish you all the best mwanangu na hongera dada chaby na ka zuberi kwa kukuza
ReplyDeleteHappy Birthday Abdulrahim! Lots of Greetings from your Best Friend Donald OC. Mungu wetu akutangulie katika kila jambo!
ReplyDelete