Rais Dr. Jakaya Kikwete akimuuliza swali Afisa Mauzo wa bKampuni ya MaxCom Africa,Bw. Kurwa Mapigano wakati wa warsha kuhusu maendeleo ya mtandao vijijini yaliofanyika jijini Dar es Salaam. Kampuni ya Maxcom Africa inatoa huduma za malipo kupitia mtandao kwa kushirikiana na mawakala wa kampuni hiyo wapatao 1,500 nchini Tanzania na Rwanda.
Rais Dr. Jakaya Kikwete akisikiliza kwa makini maelezo kuhusu huduma zinazotolewa na kampuni ya Maxcom Africa yaliotolewa na afisa maunzo wa kampuni hiyo, Bw. Kurwa Mapigano wakati wa warsha kuhusu maendeleo ya mtandao vijijini yaliofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam. Kampuni ya Maxcom Africa inatoa huduma za malipo kupitia mtandao kwa kushirikiana na mawakala wa kampuni hiyo wapatao 1,500 nchini Tanzania na Rwanda.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...