Libeneke la TASWIRA ZETU limeshika kasi huko mtaa wa pili. Kama hujatembelea jua unapitwa. Na kama umetembelea na hujatuma taswira nasi tujinome, hujitendei haki na wala hututendei haki. Lete taswira tufaidi.
Tuma kupitia email ya 
issamichuzi@gmail.com 
kama walivyofanya wadau kibao...
Kwa taswira kedekede

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...