Jumba la sinema kwa wakazi wa Mikindani, Mtwara
Kwa Taswira kibao toka kwa Chef Issa za Mtwara na Mikindani
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wow. I love the sky light background. Very lively and lovely.
ReplyDeleteHamna haja ya kuwa na AC humo. Ila wangejaribu kuliboresha kwa kuezeka vizuri kwa hayo makuti ingekuwa shoo kweli.
ReplyDeleteDu nimeipenda, taswira halisi ya wabongo. Nyumba air conditioned na kuona na kusikiliza vya maana na vya ovyo ovyo tu ndo zaidi. Hayo mazingira mtu akaumwa na nyoka hapo atasema karogwa! Yankumbusha mazingira ya kisiwa fulani, hivyo hivyo!!!
ReplyDeleteDISH lina thamani kuliko theatre lenyewe....
ReplyDelete