Jumba la sinema kwa wakazi wa Mikindani, Mtwara
Kwa Taswira kibao toka kwa Chef Issa za Mtwara na Mikindani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Wow. I love the sky light background. Very lively and lovely.

    ReplyDelete
  2. Hamna haja ya kuwa na AC humo. Ila wangejaribu kuliboresha kwa kuezeka vizuri kwa hayo makuti ingekuwa shoo kweli.

    ReplyDelete
  3. Du nimeipenda, taswira halisi ya wabongo. Nyumba air conditioned na kuona na kusikiliza vya maana na vya ovyo ovyo tu ndo zaidi. Hayo mazingira mtu akaumwa na nyoka hapo atasema karogwa! Yankumbusha mazingira ya kisiwa fulani, hivyo hivyo!!!

    ReplyDelete
  4. DISH lina thamani kuliko theatre lenyewe....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...