Mdau akitoka kununua kuku kwa ajili ya sikukuu ya Eid El Fitr ambayo inatarajiwa kuwa siku ya Jumatano kwani hadi tunaruka hewani muda huu mioango ya saa saba kasoro dakika kumi usiku mwezi bado haujaonekana. 
Mkaazi wa jijini Dar es Salaam akiwa amembeba mbuzi begani ikiwa ni maandalizi ya sikuu ya Eid El Fitr kama alivyunaswa na kamera yetu katika barabara ya Uhuru leo. Picha na Francis Dande wa Globu ya Jamii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Asalaam aleikum ANKAL
    Wadau, we always carry chicken the way mdau behind vitara did. Animal activists consider it an abuse. In developing countries, people like the gentleman pictured may find themselves in legal trouble. I'd like wadau to present "taswiras" demonstrating the right way, if necessary, to carry a chicken. thanx.

    ReplyDelete
  2. Anon wa kwanza hapo juu: SHUT UP! Tuondolee upuuzi wenu wa animal activism.

    ReplyDelete
  3. masikini jogoo na mbuzi

    ReplyDelete
  4. Mdau wa hapo juu kama uliona hiyo njia aliyochukuwa huyo kuku siyo sahihi ungeandika kwa lugha ya kiswahili ili na wengine waelewe. Lakini wewe umeamua kutuwekea ung'eng'e kwa manufaa ya wazungu wenzako ambao ndiyo hao animal activists.

    Pole sana lakini jaribu kuwasiliana na wadau kwa lugha ya taifa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...