Afisa uhusiano wa mamlaka ya majisafi na usafi wa mazingira mjini Moshi Bi Dora akitoa maelezo kwa wananchi waliotembelea banda la mamlaka hiyo katika maonesho ya miaka 50 ya uhuru yanayoendelea katika viwanja vya Hindu Mandal mjini Moshi.

Afisa wa mamlaka ya majisafi na usafi wa mazingira mjini Moshi,kitengo cha maji taka Bw Zacharia Kindulu akitoa maelezo kwa wananchi waliotembelea banda la mamlaka hiyo katika maonesho ya miaka 50 ya
uhuru yanayoendelea katika viwanja vya Hindu Mandal mjini Moshi.
Banda la mamlaka ya majisafi na usafi wa mazingira mjini Moshi.
Afisa wa mamlaka ya majisafi na usafi wa mazingira mjini Moshi,kitengo cha maji taka Bw Zacharia Kindulu akitoa maelezo kwa wananchi waliotembelea banda la mamlaka hiyo katika maonesho ya miaka 50 ya
uhuru yanayoendelea katika viwanja vya Hindu Mandal mjini Moshi.
Afisa uhusiano wa mamlaka ya majisafi na usafi wa mazingira mjini Moshi Bi Dora (kushoto) akiwa na Bi Sophia Siza wa kitengo cha malipo ya bili ya maji,katika maonesho ya miaka 50 ya uhuru yanayofanyika
katika viwanja vya Hindu Mandal mjini Moshi.
Wanafunzi wakinywa maji katika banda la mamlaka ya majisafi na usafi wa mazingira mjini Moshi lkatika maonesho ya miaka 50 ya uhuru yanayoendelea katika viwanja vya Hindu Mandal mjini Moshi.Picha na Dixon Busagaga wa Globu ya jamii Moshi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...