Afisa Mfuko wa Hiari wa Kujiwekea akiba uzeeni (GEPF) Aziza Selemani akitoa ufafanuzi kwa mwananchi aliyetembelea banda la Wizara ya Fedha kwenye maonyesho ya wakulima ya nane nane leo mjini Dodoma.
Wafanyakazi wa Wizara ya Fedha Eva Varelian (kushoto) na Alice Kihiyo (kulia) wakimhudumia mteja leo mjini Dodoma wakati wa maonyesho ya nane nane yanayoendelea .
Afisa Uhisiano wa Mfuko wa Penseni wa PPF Edward Kyungu akitoa maelezo kwa mwananchi katika banda la Wizara ya Fedha juu ya muhimu wa mfuko huo katika maonyesho ya wakulima ya nane nane yanayoendelea mjini Dodoma .
Msemaji wa Wizara ya Fedha Ingiahedi Mduma (kulia) akibadilishana mawazo jana na Onni Sigara(katikati) na Adamu Msumule (kushoto) wakati wa maonyesho ya wakulima ya nane nane yanayoendelea mjini Dodoma.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...