Meneja Masoko wa Mfuko wa GEPF Bw. Best Ntukamazina akikabidhi baadhi ya zawadi kwa mlezi mkuu wa kituo hicho Bi Khadija Hassan huku akishuhudiwa na Afisa mwandamizi wa uendeshaji wa Mfuko Bi Salma Mtaullah.
Meneja Masoko Bw. Best Ntukamazina akisaidiana na wafanyakazi wa Mfuko wa GEPF kuhakikisha kila mtoto anapata futari ya kutosha.
Baadhi ya watoto wa kituo hicho wapatao 80 wakiendelea na kuburudika na futari iliyoandaliwa na Mfuko wa GEPF.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Kaka yangu nimekuona na hiyo kanzu nikacheka kidogo, ubarikiwe kwa kuwakumbuka yatima, Columbus, oh

    ReplyDelete
  2. Hongera sana kwa kuwakumbuka ndugu zetu mayatima, hili jambo ndilo linalotakiwa kwa jamaii nzima kusaidiana na kuwakumbuka walio na uwezo mdogo.
    Bro. umesahau kitu kidogo tu, huwa tunavua makubazi kwenye mikeka then uvaa tena ukitoka(makubazi ni easy access),utaniwia radhi kidogo but tunakupongeza.

    ReplyDelete
  3. You look good in that outfit Best. Kwa sababu nguo nzuri sio mashekhe na mapadri kila mtu anaweza kuvaa na kupendeza. Uislamu hauna ubaguzi hata joho ungetaka ungevaa. That is real marketing. Lakini kuwalisha watoto yatima ni kila siku hawa hawali siku moja kila siku wanahitaji kukumbukwa. We fikiria mlo wa nyumbani tu unavokugharimu. Hawa watoto wana siri yao moja, kuna siku wanakosa chakula ndani ya nyumba hawagomi kama wanavyogoma wanafunzi wa chuo Kikuu wanaopewa ruzuku za bure, wanaamua kufunga na kunyamaza kimya wakirudi shuleni wanakoroga uji bila ya sukari na kulala bila ya kumtia aibu mlezi wao na wala kumgomea. this should be a good lesson to the Mlimani children!!!!!

    ReplyDelete
  4. HII HABARI YA KUFUTURISHA SASA IS TWO MUCH KILA SIKU KUFUTURISHA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...