Dear all
Sasa hii michezo ishaanza huko TANESCO,Ni full shangwe! hebu angalia hiyo mimara nayo imeamua kucheza mchezo wa kuruka kamba. Sasa watanzania tunahadhimisha jubilee ya miaka 50 ya uhuru kwa burudani hii.MGAO WA UMEME UTAKUWA HISTORY HIVI PUNDE,
STAY TUNED!

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...