ANKAL NAOMBA UNISAIDIE KUWAFIKISHIA WATANZANIA UJUMBE HUU.
Naitwa Ndugu Gerald Simba. Naishi Makongo Juu. Nina utalamu wa kutengeneza nishati ya mkaa kwa kutumia makaratasi.. Ninafundisha kutengeneza mkaa kwa kutumia makaratasi kwa gharama nafuu sana.
\WALENGWA: Watumiaji wa nishati ya mkaa pamoja na wauzaji wa nishati hiyo.
FAIDA: Kwa watumiaji wa nishati ya mkaa, mafunzo haya yatawasaidia kupunguza gharama kwani njia hii ya utengenezaji mkaa ni rahisi, nzuri na ya uhakika sana.
Kwa wajisiriamali na wauzaji wa mkaa, ujuzi watakao upata utawasaidia kuanzisha ama kupanua biashara ya uuzaji mkaa.
Kama hiyo haitoshi, mafunzo haya yatasiadia katika kupambana na uchafuzi wa mazingira, kwani malighafi zinazotumika kutengeneza mkaa huu, mara nyingi huwa ni uchadu unaotupwa majalalani nakadhalika.
MAFUNZO YANAFANYIKA KWA MUDA WA MASAA MATATU TU..
NINATOA MAFUNZO HAYA NYUMBANI KWANGU KWA MUDA WA WIKI MBILI TU KUANZIA LEO, HIVYO WAHI MAPEMA.
KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NAMI KWA SIMU NAMBARI 0788363058..
ANKAL NATANGULIZA SHUKURANI ZANGU ZA DHATI KWAKO.
Huh!
ReplyDeleteMkaa wa makaratasi! Bahati mbaya siko Dar, ningekuja kujionea mkaa wa makaratasi unafananaje. Mtoa Tangazo, tafadhali tuletee angalau picha ya huo mkaa!