MC Catunda at the bore hole site at the start of the drilling on June 8, 2011
The long time dream has finally come true !!.Finaly clean water is gushing out like mad after a long, long wait for Mwengemshindo Villagers in Songea, Tanzania. The well construction project will help more than 100 orphan children Thanks for all who helped us Mwangaza Jitegemee Foundation in USA, JAPAN and TANZANIA to accomplish this noble cause. Asante sana - MC Catunda
Water drilling engineers drenched to the skin after they hit water low below
Water at last!
Some of the ophans rejoice the precious liquid
Hizi ndizo habari za kutangazwa mara kwa mara kwani zinatia moyo na kututhibitishia kuwa nchi yetu INAWEZA KUFANYA MENGI MAZURI.Tusibaki tu kuwaangallia wale viongozi wanaojiangalia nafsi zao na kupoteza mabilioni ya pesa kwa maslahi yao ya kibinafsi.Tuwaangalie watu kama hawa ambao wanaturudishia imani na utulivu pia na hope kwamba kumbe TUKIAMUA TUNAWEZA
ReplyDeleteHawa ndo wabeba box wenye manufaa kwa taifa letu! Sio nyie wengine mna maneno kibao, matendo zero, Ubarikiwe kaka!
ReplyDeleteKaka michuzi tusaidie email ya huyu kaka wa songea tu link nae, kwani anaweza kutufikia kijijini. Asante sana. Mdau
ReplyDeleteHongereni! Lakini jengeni sehemu ya kunawia mbali na kisima. Mkiendelea kunawa hapo, maji machafu yanaweza kuingia ndani ya kisima na kuchafua chanzo. Baada ya muda mtaanza kupata maradhi mbalimbali mfano kuhara, magonjwa ya ngozi nk. Kwa uzoefu nilionao, kisima kikichafuliwa, ni kaaaazi kwelikweli kukisafisha! Huu ni ushauri wa bure!
ReplyDeleteMCL
Safi sana kijana.Huo udongo mwekundu mliiupeleka Maabara kupima madini fulani ya bei mbaya?(sitayataja).Only exploration Geologists can understand what I mean!!
ReplyDeleteDavid V
Bwana DC
ReplyDeleteTafadhali mpe ndugu huyu hongera on our behalf
Mie bi nafsi ningependa kujua hesabu roughly
How much would such a venture cost
Are drilling services available throughout Bongo?
Hawa ndio WABEBA BOX wanaotakiwa. Safi sana Kaka.
ReplyDeleteSio Wapiga box wengine pesa yao kazi ni KUPOMBEKA na KUNGONOKA tu.
Big up sana Bro.
Mungu akuzidishie mkuu.
ReplyDeleteAnaonyesha maendeleo siyo tu ufanye mpaka uwe mwanasiasa au kwa maslai fulani ni jukumu la kila mwenye uwezo kumsaidia asiye nao kwa lengo la kutokomeza umaskini.
Safi sana,kweli upo wezekano wa kupatikana maji ya kudumu ha da umeme,tatizo letu hapa tanzania ni kwamba seriakili inawekeza sehemu moja tu kama vile umeme na maji safi.
ReplyDeleteWakati ilitakiwa kila mkowa kuwe na vyanzo vyake vya maji safi na umem,ili isiweze kuathiri nchi nzima kunapotoke na matatizo.
ADHI yate imejaa maji everywhere unapokwenda uchimbe kidogo tu baji yamepatika,lakini watu wana shida na maji,serikali inashindwa kutekeleza wajibu wake,serikali yoyote ina wajibu wa kuwapati wananchi,maji,umeme,elimu,huduma ya afya. Hizi sio sera za chama bali ni sera za serikali yoyote. lazima lazima,hakuna cha kujisifu kusiasa.
Nawapa hongera wabiga BOX sana,na mimi soon kama mpiga box nitashusha mashine yangu kama hiyo tz. Nina machungu sana.lolz
Hongera watoto wa swako kwa kupata maji. na asanteni wote kwa michango yenu Mungu awabariki na awazidishie daima. pia shukurani za dhati kwa Mr Kobayashi ありがとうございました! na wote walioshiriki kuchimba kisima. God bless you all.
ReplyDeleteFrom Fatina Muhesa