More Entertainment Inayojishughulisha Na Maswala Ya Kupromoti, Kusimamia Na Kurekodi ( Tuff Rec ) kazi Za Wasanii Wachanga Mkoani Morogoro Inapenda Kuwajulisha Wadau Wote Wa Sanaa Nchini Kuwa Imefungua Blog Inayokwenda Kwa Link Ya
( http://bongoflavalink. blogspot.com ) Ili Kurahisisha Kazi Ya Kupromoto Kazi Za Wasanii.
( http://bongoflavalink.
Tunaomba Sapoti kutoka Kwenu Kwa Kutembelea Hii Blog Kwa Maendeleo Ya Sanaa Yetu...
Thanks..
Contact:
Salim Chuma aka MORE
Morogoro
Tanzania
Tel: +255712 222244
http://bongoflavalink.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...